MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI Leo 15/11/2024
MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA ENGINEER II (CONFORMITY AND INTEROPERABILITY) ULIOFANYIKA TAREHE 15/11/2024
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA ICT OFFICER II (SYSTEM DEVELOPER) ULIOFANYIKA TAREHE 15/11/2024
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
