MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI Leo 09/11/2024

Filed in Usaili by on 09/11/2024 0 Comments

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI Leo 09/11/2024MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA TECHNICIAN II (SIGNAL & TELECOMMUNICATION) NA MECHANICAL TECHNICIANS ULIOFANYIKA TAREHE 09/11/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.

Aidha wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia ratiba ya usaili wa vitendo kwa mchanganuo ufuatao:

TECHNICIAN II (SIGNAL & TELECOMMUNICATION) 

  • Serial Number: 1 – 21 Watafanya usaili tarehe 10.11.2024
  • Serial Number: 22 – 42 Watafanya usaili tarehe 11.11.2024

MECHANICAL TECHNICIANS

  • Serial Number: 1 – 21 Watafanya usaili tarehe 10.11.2024
  • Serial Number: 22 – 41 Watafanya usaili tarehe 11.11.2024

MATOKEO YA USAILI  MWINGINE WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 09/11/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!