MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II

Filed in Ajira by on 04/09/2024 0 Comments

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK) Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II – (ASSISTANT NURSING OFFICER II)


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!