MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II

Filed in Usaili by on 07/09/2024 0 Comments
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY ) MDAs & LGAs ULIOFANYIKA TAREHE 6 SEPTEMBA, 2024

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY ) MDAs & LGAs ULIOFANYIKA TAREHE 6 SEPTEMBA, 2024

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!