MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI (MUHAS) ULIOFANYIKA TAREHE 18/10/2024
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates).
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
RESULTS TA-BOTANY
RESULTS TA-ECONOMICS
RESULTS TA-OPTHALMOLOGY
