MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024

MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024
MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024
Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Kidato Cha Pili ya Mwaka 2024 tayari yametangazwa.
BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR EXAMINATIONS RESULT FORM TWO 2024
BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 ZANZIBAR
Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au mwanafunzi ambae hajaridhishwa na matokeo yaliyowasilishwa anatakiwa kufika ofisi za Baraza la Mitihani Vuga kwa Unguja na ofisi za Baraza zilizopo Chake Chake kwa upande wa Pemba kwa ajili ya kupata maelekezo na kujaza fomu ya malalamiko na malalamiko hayo yawasilishwe ndani ya kipindi cha mwezi mmoja (1) kuanzia yalipotolewa matokeo.
