MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar

MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar
MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar
Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne ya Mwaka 2024 tayari yametangazwa.
BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR EXAMINATIONS RESULT STANDARD FOUR 2024
BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 ZANZIBAR
Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au mwanafunzi ambae hajaridhishwa na matokeo yaliyowasilishwa anatakiwa kufika ofisi za Baraza la Mitihani Vuga kwa Unguja na ofisi za Baraza zilizopo Chake Chake kwa upande wa Pemba kwa ajili ya kupata maelekezo na kujaza fomu ya malalamiko na malalamiko hayo yawasilishwe ndani ya kipindi cha mwezi mmoja (1) kuanzia yalipotolewa matokeo.
