MASWALI Yanayoulizwa Jeshi la Polisi Tanzania

Filed in Makala by on 02/10/2024 0 Comments

MASWALI Yanayoulizwa Jeshi la Polisi TanzaniaMASWALI Yanayoulizwa Jeshi la Polisi Tanzania

Nifanye nini ninaposhuhudia uhalifu?
  • Piga namba ya dharura bure 111 or 112  haraka na utoe maelezo kwa ufupi juu ya tukio hilo.
Haki zangu ni zipi ninapo simamishwa na Askari Polisi?
  • Una haki ya kuwatambua askari kwa vitambulisho, kujua kosa au sababu ya kusimamishwa.
Nawezaje kuripoti jambo linalotia mashaka?
  • Wasiliana na Akari au kituo cha Polisi karibu nawe au piga simu bure 112 au 112.
Naweza kuripoti tukio la kihalifu mtandaoni?
Nifanye nini ikiwa mimi ni mhanga wa Uhalifu?
  • Wasiliana na Polisi na utafute msaada wa matibabu kama kuna ulazima
  • Contact the police and seek medical attention if necessary.
Nawezaje kupata ripoti ya kupoteza mali
  • Utajaza taarifa zako kwenye mfumo kwa vitu vya kielekroniki kama simu nk, vitambulisho utaweza kupakua na kuprint popote ulipo.
  • Kwa vitu vya thamani kubwa utalazimika kufika kwenye kituo kilicho karibu yako kwa msaada zaidi.
Nawezaje kutoa taarifa za unyanyasaji wa kijinsia
  • Wasiliana na Dawati la jinsia jeshi la polisi katika ktuo kilicho karibu nawe au piga namba zifuatazo +255 787 668 306

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!