MAJUKUMU ya Msingi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
MAJUKUMU ya Msingi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
- Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
- Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
- Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
- Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
- Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJUKUMU ya Msingi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)