MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI (ORAL INTERVIEW) TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
Kufuatia usaili wa kwanza uliofanyika kuanzia tarehe 19 Agosti, 2024 hadi tarehe 24 Agosti, 2024 katika vituo mbalimbali nchini, Tume ya Utumishi wa Mahakama
inawatangazia walioorodheshwa kwenye tangazo hili kuwa, wahudhurie usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) na usaili kwa vitendo (Practical interview) kwa Kada ya
Afisa Tehama II, Mwandishi Mwendesha Ofisi II na Dereva II kwa tarehe na vituo
vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyoambatishwa na Tangazo
hili.
Usaili utafanyika kwa kila kada iliyoainishwa kwenye jedwali na tarehe husika kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa wale watakaofanya usaili wa vitendo na kufaulu, wataendelea na usaili wa ana kwa ana.
Wahusika wote wafike na vyeti halisi vya Elimu, Taaluma na kuzaliwa.
Aidha, wasailiwa wazingatie kuhudhuria usaili kwenye vituo walivyopangiwa na si vinginevyo.
Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya
kufanya usaili hatua ya pili.
Kwa tangazo hili, wahusika watembelee Tovuti ya Mahakama ya Tanzania
Kwa maulizo zaidi piga; simu Na 0734219821 au 0738247341 au barua pepe:
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA HATUA YA PILI
Kupata tangazo na orodha ya majina ya waliochaguliwa kuudhulia usaili wa hatua ya pili kwa kada mbalimbali [BOFYA HAPA]

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Post Views: 149