MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Nanyamba District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Nanyamba District CouncilMAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Nanyamba District Council
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Nanyamba kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu 12 (1) cha Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za mwaka 2025, anapenda kuwatangazia wote waliobainishwa kwenye orodha kuwa wameitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi za muda za Waandikishaji Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) kwa ajili ya shughuli ya uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura.
Usaili utafanyika tarehe 11 Januari, 2025 saa 02:00 Asubuhi katika vituo vyote vilivyoainishwa hapa chini:-Masharti ya Masharti ya Jumla kwa Wasailiwa:-
- Kufika na vyeti halisi ulivyotumia kuombea kazi.
- Kufika na kitambulisho chochote chenye picha ya Msailiwa au barua ya utambulisho kutoka Mamlaka ya Serikali za Mtaa/Kijiji Kila Msailiwa atajigharamia gharama chakula, usafiri na malazi.
- Kila Msailiwa atatatakiwa kuzingatia tarehe, muda na mahali alilopangwa kufanya usaili
Pamoja na tangazo hili orodha ya wasailiwa imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Nanyamba District Council