MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Masasi Town Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Masasi Town Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Masasi Town Council
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Masasi Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya kazi ya muda ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki ambao wameorodheshwa wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika tarehe 11/01/2025 kuanzia saa 2.00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Masasi (Masasi Girls).
Orodha ya majina ya waotakiwa kuhudhuria usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa hapo chini kwenye PDF;
Mambo muhimu ya kuzingatia
Wasailiwa wanatakiwa kuja na vitu vifuatavyo:-
- Kila msailiwa anatakiwa kufika na kitambulisho chenye taarifa na utambulisho wake
- Kila msailiwa aje na vyeti vyake halisi(original) cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Elimu na Taaluma
- Kila Msailiwa atajigharamia kwa nauli, chakula na malazi.
- Aidha, kila Msailiwa anasisitizwa kuhakikisha kuwa anakuwepo eneo la Usaili ndani ya muda uliopangwa.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Masasi Town Council