MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Iringa District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Iringa District Council
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa Mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Kanuni ya 12 Kifungu kidogo cha 1 (b-f) ambapo zoezi la uboreshaji linatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 27 hadi 02.01.2025.
Kutokana na maelezo yaliyotolewa hapo juu, nawatangazia waombaji wote waliochaguliwa kwa nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) kuwa kutakuwa na usaili kwa ajili ya nafasi walizoomba kwenye tangazo la tarehe husika.
Usaili huu utafanyika tarehe 10 hadi 11/12/2024 katika vituo vya kila Tarafa kama ilivyofafanuliwa kwenye orodha hapa chini sambamba na Orodha ya waombaji iliyoambatishwa kwenye PDF hapa chini;
Aidha, wasailiwa wote wanaelekezwa kuja na kitambulisho chochote kinachomtambulisha.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Iringa District Council