MAJINA ya Walioitwa Kazini Mtwara Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 19/10/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini Mtwara Municipal Council

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

OFISI ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Inapenda Kuwataarifu Waombaji wa Kazi Kwa Nafasi ya Dereva Daraja la II, Mtendaji Wa Mtaa Daraja La III, Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja La Ii Kufuatia Kibali Chenye Kumb. na.FA.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni,2024 Waliofanya Usaili wa Mahojiano Kuanzia tarehe 11/10/2024 hadi tarehe 16/10/2024 Kuwa Mchakato wa Usaili Umekamilika na Matokeo yametoka na Orodha Imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

  • Dereva Daraja la II (4).
  • Mtendaji wa Mtaa Daraja la III (30).
  • Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (4).
  • Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (3).

Waombaji Waliofaulu Usaili Wanatakiwa Maelekezo Yafuatayo: –

Kuzingatia

Waliochaguliwa Wote Wanatakiwa Kuripoti Katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani mnamo tarehe 22/10/2024 Siku ya Jumanne Kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Waombaji wote Wanatakiwa Kuwasilisha vyeti Halisi (Original Certificate vya Kidato Cha Nne, Kidato Cha Sita, Vyeti vya Taaluma Husika, Cheti Cha Kuzaliwa, Picha Nne (4) Za Rangi (Passport Size) na Kitambulisho cha Nida au namba ya Nida.

Waombaji Wote ambao Hawajachaguliwa Watambue Kuwa Hawakupata Nafasi, Hivyo Wasisite Kuomba Kwa Mara nyingine Tena Nafasi za Kazi Zitakapotangazwa.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!