MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa (MUCE) 12-11-2024

Filed in Kuitwa Kazini by on 12/11/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa (MUCE) 12-11-2024TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (MUCE) 12-11-2024

Naibu Rasi – Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa
(MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 17 Oktoba, 2024 kuwa matokeo ya wasailiwa waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa
kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kuanzia tarehe 18 Novemba, 2024 hadi 01 Desemba, 2024 kwa kufika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE).

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kuanzia saa mbili asubuhi kwa tarehe tajwa wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nyaraka tajwa ni kama ifuatavyo:

  • Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala za vyeti hivyo zilizothibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/ Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
  • Cheti cha kuzaliwa;
  • Nakala/namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA);
  • Picha ndogo tatu za rangi (three coloured passport size photographs)

MAJINA YA WASAILIWA WALIOFAULU USAILI NA KUITWA KAZINI DONWLOAD PDF HAPA CHINI;


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!