MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Monduli District Council
MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Monduli District Council
Tume Huru ya Tifa ya Uchaguzi inataraji kuendesha Mafunzo katika ngazi ya kata kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura ambao ni Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki tarehe 08/12/2024 hadi 09/12/2024 saa moja na nusu Asubuhi.
Mafunzo haya yatafanyika katika Tarafa tatu ambazo ni Kisongo (Monduli Mjini), Makuyuni (Lowassa sekondari) na Manyara (Shule ya Msingi Losirwa).
Hivyo, kila mtendaji wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura anatakiwa kuhudhuria mafunzo haya kwenye tarafa yake.
Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo katika kutekeleza zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza tarehe 11/12/2024 hadi 17/12/2024.
Aidha, orodha ya watendaji waliochaguliwa kutekeleza zoezi hili baada ya usaili kukamilika imeambatishwa kwenye PDF hapa chini!

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Monduli District Council