MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Longido District Council
MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Longido District Council
Afisa Mwandikishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido, anawapongeza na kuwajulisha Wananchi wote waliochaguliwa kazi za muda nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendeshaji wa Kifaa cha Bayometriki (BVR) kuhudhuria kwenye mafunzo yanayotarajiwa kufanyika tarehe 8-9/12/2024 makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido bila kukosa.
Muda wa kuanza mafunzo ni saa 2:00 asubuhi.
Orodha ya Majina imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Longido District Council