MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Hai District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 04/12/2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Hai District CouncilMAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za INEC Hai District Council

Afisa mwandikishaji Jimbo la Hai, anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura katika nafasi ya Waendesha Mashine za Bayometriki (BVR Kit Operators) na Waandishi Wasaidizi.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wote waliochaguliwa wanatakiwa kuhudhuria mafunzo ya siku 2 yatakayofanyika katika ukumbi wa KKKT Hai Mjini tarehe 08 na 09 Desemba 2024. (Jumapili na Jumatatu) kuanzia saa moja na nusu asubuhi.

Tafadhali zingatia muda.

Washiriki wenye udhuru wanapaswa kutoa taarifa mara moja baada ya kupata tangazo hili.

Orodha ya washiriki imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!