MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) 2025
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) 2025
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza uchaguzi wa walioomba kujiunga na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula unaoanza Januari, 2025 umekamilika.
Orodha ya majina ya waliochaguliwa inapatikana kwenye PDF hapa chini, na fomu ya maelekezo ya kujiunga (Join instruction) inapatikana HAPA, na kwenye vyuo vya VETA kote nchini.
Pata bonus mara 2 ya kiasi uliochoweka Ukijiunga na 1Win Bofya HAPA Kujisajili, hakikisha umeweka Promo Code ambayo ni A19B ili kupata bonus ya Kujisajili.
Waliochaguliwa wanapaswa kufika vyuoni kabla ya tarehe 10 Januari, 2025. Masomo yataanza tarehe 13 Januari, 2025.
Kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2025 Donwload PDF hapa chini;

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) 2025