MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu tarehe 16 December 2024

Filed in Magazeti by on 15/12/2024

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu tarehe 16 December 2024

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wake dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho barani Afrika.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mechi hiyo imechezwa leo Jumapili Desemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam ambapo Simba imeshinda kwa mabao 2-1.

Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika: “Pongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya CS Sfaxien.

“Mnaendelea kutupa Watanzania furaha na burudani kwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa, huku tukiendelea kubaki wamoja katika kazi, amani, umoja, utulivu na mshikamano.”

“Ninawatakia kila la kheri katika michezo yenu inayofuata.”


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!