MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano tarehe 11 December 2024
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano tarehe 11 December 2024
Jishindie Mamilioni Kila Siku Kwa Kujiunga na 1Win Bofya HAPA Kujisajili, hakikisha umeweka Promo Code ambayo ni A19B ili kupata bonus ya Kujisajili.
“Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Kabudi nimeipitia vizuri CV yako kumbe wewe ni Mwanahabari pamoja na kwamba ni Mtu wa sheria lakini pia ni Mwanahabari, kwahiyo nimekupeleka pale ili kuipa msukumo ile Sekta ya Habari ambayo nimeihamisha kule nimeipeleka pale, na kwa uzoefu wako jinsi unavyozungumza na uanahabari wako na uanasheria nahisi tutakwenda vizuri sana na hii Sekta ya Habari”
“Kule kwenye Sekta ya Michezo na Sanaa zao Kijana yupo, Hamis (Mwana FA) yuko wapi?, eeh Kijana yupo huyo hapo, mpe msukumo aende akaisimamie vizuri hiyo Sekta wewe ukiwa hapa juu Supervisor lakini Kamata Sekta ya Habari, unajua vizuri malalamiko yao nenda kaikamate Sekta ya Habari halafu mambo mengine Kijana huyu atakwenda nayo “Rais Samia leo Ikulu Zanzibar wakati akiwaapisha Viongozi mbalimbali.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano tarehe 11 December 2024