MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 27 November 2024

Filed in Magazeti by on 27/11/2024 0 Comments

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 27 November 2024

Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Young Africans kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi uliopigwa Uwanja wa Benjamini Mkapa.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa kocha mpya wa Yanga Saed Ramovic, akiwa na Yanga na kuanza na kichapo hicho.

Wasudani hao wamefanikiwa kufunga mabao yao yote mawili kupitia kwa Adam Coulibali dakika ya 63 huku bao jingine likifungwa na Yasir Muzamil katika dakika ya 90.

Katika mchezo mwingine wa Kundi A, TP Mazembe wakiwa nyumbani wametoka suluhu dhidi ya MC Alger ya Algeria.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!