MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 03 November 2024

Filed in Magazeti by on 03/12/2024

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 03 November 2024

Watu 56 wamepoteza maisha baada ya ghasia zilizotokea kwenye mechi ya mpira wa miguu katika mji wa N’Zerekore, kusini-mashariki mwa Guinea.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tovuti ya Aljazeera leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 imeandika kuwa ripoti zinaonyesha tukio hilo lilianza baada ya mwamuzi kuwapa kadi nyekundu wachezaji wawili wa timu ya wageni (Labe) na kuamuru penalti yenye utata.

Malalamiko yaliyotoka kwa wachezaji wa timu ya Labe kuhusu uamuzi wa mwamuzi huyo yaliyosababisha mashabiki wa timu hiyo kurusha mawe, hivyo kusababisha vurugu. Polisi wamelazimika kuingilia kati jambo hilo kwa kuwarushia mabomu ya machozi na kusababisha watu kukimbia kwenye njia moja na kusababisha vifo hivyo.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!