MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025
Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha Dk Seif Shekalaghe kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya.
Aidha, amemhamisha Dk John Jingu kutoka Wizara ya Afya kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Mosses Kusikula na kusainiwa na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Sharifa Nyanga leo Ijumaa Januari 17, 2025, uteuzi huo unaanza mara moja.
