MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 22 November 2024

Filed in Magazeti by on 22/11/2024 0 Comments

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 22 November 2024

Pamba Jiji vs Simba SC Mechi ya Mtego, Mwanzo Mpya Kocha Yanga, tatu zijazo Yanga, Yanga vs Al Hilal, Namungo FC vs Yanga, MC Alger vs Yanga SC.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Freddy Koublan Michael ‘Fungafunga’ amejiunga na Zesco United ya Zambia kwa mkataba wa mwaka mmoja akiwa mchezaji huru.

Freddy ambaye ameitumikia Simba kwa miezi sita akitokea Green Eagles amejiunga na timu hiyo akiacha kumbukumbu ya kufunga mabao nane kwenye mechi 13 za Ligi kuu Bara.

Zesco wamethibitisha taarifa za kumsajili mchezaji huyo kupitia mtandao wao wa kijamiii Instagram kwa kumposti mchezaji huyo akiwa amevaa jezi za timu hiyo.

Awali mshambuliaji huyo alikuwa anatajwa kutua USM Alger lakini dili lake lilikwama kutokana na kukosa kigezo cha kuwahi kucheza timu ya taifa lake ndipo alipoamua kurejea Tanzania na kuungana baadhi ya mastaa wa Yanga ambao alikuwa anafanya nao mazoezi.

Mchezaji huyo wa zamani wa Green Eagles aliondolewa kwenye kikosi cha Simba kumpisha Lionel Ateba.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!