MABADILIKO ya Ukumbi wa Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Wasailiwa wote mlioomba kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mnajulishwa kuwa Usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 09 Oktoba, 2024 hadi 13 Oktoba, 2024 utafanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Inyonga iliyopo Kata ya Inyonga.
