MABADILIKO ya tarehe za Usaili wa Vitendo na Mahojiano TCRA
MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO KADA YA AFISA TEHAMA II NA MHANDISI II MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)
Mahali pa kufanyia usaili na muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili la tarehe 25.10.2024 lenye Kumb.Na. JA.9/259/01/B/92.
Tags: MABADILIKO ya tarehe za Usaili wa Vitendo na Mahojiano TCRA