MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO KADA YA TABIBU II
MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO KADA YA TABIBU II (CLINICAL OFFICER II)
Wasailiwa wote wa Kada ya Tabibu II (Clinical Officer II) waliofaulu usaili wa kuandika mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili wa mahojiano.
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao
