LIVE Droo ya Makundi ya CAF 2024/2025

Filed in Michezo by on 07/10/2024 0 Comments
LIVE Droo ya Makundi ya CAF 2024/2025

LIVE Droo ya Makundi ya CAF 2024/2025

Droo ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup itafanyika mjini Cairo Leo Jumatatu Kuanzia saa 7:00 mchana.
Kwanza itakuwa Droo ya hatua ya  Makundi ya TotalEnergies CAF Confederation Cup saa 7:00 mchana, huku ikifuatiwa na Droo ya Ligi ya Mabingwa ya TotalEnergiesCAF saa 8:00 mchana.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

DROO YA MAKUNDI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2024/2025 TAZAMA HAPA

DROO YA MAKUNDI CAF CONFEDERATION CUP 2024/2025 TAZAMA HAPA.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!