KIKOSI Cha Young Africans Kinachoifuata TP Mazembe
KIKOSI Cha Young Africans Kinachoifuata TP Mazembe
Klabu ya Young Africans inaondoka leo Jijini Dar kuelekea Lubumbashi nchini DR Congo kwaajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya TP Mazembe Jumamosi ya tarehe 14 December 2024.
Kuelekea mchezo huo hiki hapa ni Kikosi Kinachosafiri leo Alhamisi ya tarehe 12 December 2024.
Jisajili na 1Win upate bonus ya asilimia 200, bofya HAPA, hakikisha umeweka Promo Code ambayo ni A19B ili kupata bonus ya Kujisajili ya asilimia 200 sawa na kiwango chako Cha Kwanza.
MAKIPA
1:Djigui Diarra
2:Aboutwalib Mshery
3:Khomeiny Abubakar
MABEKI
3:Dickson Job
4:Kouassi Yao
5:Bakari Mwamnyeto
6:Nickson Kibabage
7:Ibrahim Abdallah
8:Chadrack Boka
9:Kibwana Shomari
VIUNGO
10:Khalid Aucho
12:Jonas Mkude
13:Mudathir Yahya
14:Duke Abuya
15:Max Nzengeli
16:Denis Nkane
17:Farid Mussa
18:Salum Abubakar
19:Pacome Zouzoua
20:Shekhan Ibrahim
21:Stephen Aziz Ki
22:Clatous Chama
WASHAMBULIAJI
23:Prince Dube
24:Clement Mzize
25:Kennedy Musonda
