KIKOSI Cha Young Africans Kinachoifuata MC Alger
KIKOSI Cha Young Africans Kinachoifuata MC Alger
Kikosi Yanga Kinachosafiri leo Jumanne 03 December 2024 Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wa Pili Kundi A CAF Champions League 2024/2025 dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Orodha hiyo ya wachezaji 25 imejumuisha wachezaji, Khalid Aucho, Clement Mzize na Chadrack Boka waliokuwa na majeraha.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa tarehe 07 December 2024 Kuanzia Saa 4:00 Usiku kwenye Uwanja wa du 5 Juillet nchini Algeria.
Kikosi Kamili Cha Young Africans Kinachoifuata MC Alger CAF Champions League 2024/2025.
Makipa
1:Djigui Diarra
2:Khomeiny Abubakar
3:Aboutwalib Mshery
Mabeki
4:Bakari Mwamnyeto
5:Dickson Job
6:Kouassi Yao
7:Kibwana Shomari
8:Ibrahim Abdallah
9:Chadrack Boka
10:Nickson Kibabage
Viungo
11:Mudathir Yahya
12:Khalid Aucho
13:Jonas Mkude
14:Duke Abuya
15:Max Nzengeli
16:Denis Nkane
17:Farid Mussa
18:Sheikhan Ibrahim
19:Pacome Zouzoua
20:Stephen Aziz Ki
21:Clatous Chama
Washambuliaji
22:Prince Dube
23:Clement Mzize
24:Jean Baleke
25:Kennedy Musonda
