Kikosi Cha Young Man kilichoondoka Leo Alhamisi alfajiri kwenda nchini Ethiopia kwaajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya CB SA ya nchini humo.
Wachezaji hao waliosafiri kutoka Tanzania watawasili Addis Ababa na kuungana na wengine waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa.
Aidha Wachezaji ambao hawakujumuisha katika safari hiyo ni Farid Mussa ambaye alifanyiwa upasuaji hivi karibuni akitarajiwa kuwa nje kwa miezi miwili.
Mwingine ni Nickson Kibabage ambaya amepata msiba wa kufiwa na Baba yake Mzazi.
Orodha Kamili ya Wachezaji 25 wa Young Africans waliosafiri kwenda Ethiopia.
MAKIPA:
1:Dijgui Diara
2:Aboutwalib Mshery
3:Khomeiny Abubakar
MABEKI
1:Dickson Job
2:Kibwana Shomari
3:Ibrahim Abdallah
4:Bakari Mwamnyeto
5:Chadrack Boka
6:Azizi Andabwile
7:Kouassi Yao
VIUNGO
1:Salum Abubakar
2:Mudathir Yahya
3:Max Nzengeli
4:Duka Abuya
5:Denis Nkane
6:Shekhan Ibrahim
7:Clatous Chama
8:Jonas Mkude
9:Khalid Aucho
10:Pacome Zouzoua
11:Stephen Aziz Ki
WASHAMBULIAJI
1:Kennedy Musonda
2:Jean Baleke
3:Clement Mzize
4:Prince Dube
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Post Views: 98