KIKOSI Cha Simba SC Kinachoifuata CS Constantine
KIKOSI Cha Simba SC Kinachoifuata CS Constantine
Kikosi Cha Wachezaji 21 ambao watasafiri kesho alfajiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wa Pili wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025).
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa tarehe 8 December 2024 Kuanzia Saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Mohamed Hamlaoui nchini Algeria.
KIKOSI Kamili Cha Simba SC Kilichoifuata CS Constantine CAF Confederation Cup 2024/2025.
Makipa
1:Moussa Camara
2:Ally Salim
Mabeki
3:Che Fondoh Malone
4:Karaboue Chamou
5:Abdulrazack Hamza
6:Mohamed Hussein
7:Shomari Kapombe
8:Kelvin Kijili
9:Valentin Nouma
Viungo
10:Mzamiru Yassin
11:Debora Fernandes
12:Ladack Chasambi
13:Fabrice Ngoma
14:Augustine Okejepha
15:Omary Omary
16::Edwin Balua
17:Jean Charles Ahoua
18:Kibu Denis
19:Awesu Awesu
Washambuliaji
20:Steven Mukwala
21:Lionel Ateba
