Mechi ya Simba na Yanga itachezwa lini?
Klabu ya Simba SC inatarajiwa kucheza mchezo unaofuata dhidi ya watani zake Young Africans Leo Jumamosi Oktoba 19,2024, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam.
Baada ya kukosa taji la Ligi Kuu kwa misimu mitatu mfululizo, msimu huu Simba iliyosukwa upya lengo lake ni kurejesha Ubingwa wa Ligi Kuu Kwanza.
Mechi dhidi ya Yanga ni miongoni mwa mechi muhimu ambazo Simba inahitaji alama zote tatu ili kuweka vyema hesabu zake za Ubingwa.
LIVE Simba Sc Vs Yanga Sc – Derby Ya Kariakoo, Uwanja Wa Mkapa,Simba vs Yanga today, Simba vs Yanga results today, Simba vs yanga stats, Simba vs Yanga LIVE.
Je Yanga imechukua Ubingwa mara ngapi mfululizo?
Young Africans imekuwa Bingwa wa Ligi Ligi Kuu kwa misimu mitatu mfululizo na bado wanaonekana kuwa na kikosi imara ambacho kinao uwezo wa kutetea tena Ubingwa.
Je Matokeo ya Simba na Yanga ni yapi Kwa mechi 11 zilizopita?
Takwimu za mechi 11 zilizopita, zinaonesha Simba imepata ushindi wa mechi moja tu, ikipata sare mechi tano (6), huku Young Africans wakishinda mechi nne (4).
Head to head record ya mechi 5 zilizopita za Ligi Kuu Tanzania Bara Simba imeshinda mechi 1, sare 2 huku Young Africans ikishinda mechi 2.
Takwimu Kamili za Kariakoo Derby Kuanzia msimu wa 2017/2028 hadi 2023/2024.
👉20 April 2024
FT Young Africans 2 – 1 Simba
👉05 November 2023
FT Simba 1 – 5 Young Africans
👉16 April 2023
FT Simba 2 – 0 Young Africans
👉23 October 2022
FT Young Africans 1 – 1 Simba
👉30 April 2022
FT Young Africans 0 – 0 Simba
👉11 December 2021
FT Simba SC 0 – 0 Young Africans
👉03 July 2021
FT Simba SC 0 – 1 Young Africans
👉07 November 2020
FT Young Africans 1 – 1 Simba SC
👉08 March 2020
FT Young Africans 1 – 0 Simba SC
👉04 January 2020
FT Simba SC 2 – 2 Young Africans
👉30 September 2018
FT Simba SC 2 – 2 Young Africans
Je Mechi ya marudiano Yanga SC vs Simba itachezwa lini?
Mechi ya marudiano kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC imepangwa kufanyika tarehe 01 Machi 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mechi ya Marudiano ya Young Africans dhidi ya Simba SC itachezwa lini?
Mchezo huo pia utachezwa saa 11:00 jioni.