KANUNI za Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025

Filed in Makala by on 16/11/2024 0 Comments

KANUNI za Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025KANUNI za Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025

Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024.

Kanuni hizi zitatumika katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katika Kanuni hizi, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo-

  • Afisa Mwandikishaji maana yake ni mtu aliyeteuliwa chini ya kifungu cha 7 cha Sheria na inajumuisha afisa mwandikishaji msaidizi;
  • Afisa wa Tume maana yake ni mwajiriwa wa Tume;
  • Chama cha Siasa maana yake ni chama cha siasa kilichosajiliwa chini ya Sheria ya Vyama vya Siasa;
  • Daftari maana yake ni Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lililoanzishwa chini ya kifungu cha 12 cha Sheria;
  • Daftari la Awali la Wapiga Kura maana yake ni daftari
    lililoanzishwa chini ya kifungu cha 11 cha Sheria;
  • jimbo maana yake ni jimbo la uchaguzi kwa madhumuni ya uchaguzi wa Mbunge;
  • Kadi ya Mpiga Kura maana yake ni kadi inayotolewa kwa mujibu wa Sheria, ikithibitisha kwamba mtu aliyetajwa katika kadi hiyo ameandikishwa kuwa mpiga kura;
  • Katiba maana yake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA KANUNI HIZO.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!