Kali Ongala Mrithi wa Moallin KMC FC

Filed in Michezo by on 14/11/2024 0 Comments

Kali Ongala Mrithi wa Moallin KMC FCKlabu ya KMC FC imekamilisha usajili wa Kocha Kali Ongala.

Kali Ongala anachukua nafasi ya Abdi Hamid Moallin ambaye ameondoka Kuelekea Klabu ya Young Africans.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Uamuzi wa kumchagua Kali Ongala umefikiwa baada ya bodi ya klabu hiyo kufanya kikao na kupitia CV za makocha mbalimbali na kumpitisha Ndugu Kali Ongala .


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!