KALENDA ya Mihula ya Maomo Shule za Awali, Msingi na Sekondari 2025
KALENDA ya Mihula ya Maomo Shule za Awali, Msingi na Sekondari 2025
Kalenda ya Mihula wa masomo Mwaka 2025 kwa shule za Awali, Msingi na Sekondari kidato cha 1-4 na kidato cha tano na sita (Elimu ya juu ya Sekondari).
Mihula ya masomo hujibu maswali ya shule zinafunguliwa lini, Shule zitafungwa lini na ni likizo ya siku ngapi? au huu mwaka Wanafunzi watasoma kwa siku ngapi.
Watu wengi wamekuwa wakiuita Ratiba ya Masomo Shule za Awali, Msingi, Na Sekondari.
Aidha Wazira ya Elimu, Sayansi na teknolojia ameandaa Kalenda ya Mihula ya Maomo kwa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kwa mwaka wa Masomo 2025.
Kalenda hiyo inaonyesha siku za masomo kwa mwaka 2025 zitakuwa 194 pekee, tarehe za ratiba za mashindano ya UMITASHUMTA, UMISSETA na FEASSSA.
Dhima ya Wazira ya Elimu, Sayansi na teknolojia ni Kuinua Ubora wa Elimu na Mafunzo na kuweka Mifumo na taratibu zitakazowezesha kupata idadi kubwa ya Watanzania walioelimika na wanaopenda kujielimisha zaidi ili waweze kuchangia katika kufikia malengo ya maendeleo ya Taifa letu.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: KALENDA ya Mihula ya Maomo Shule za Awali, Msingi na Sekondari 2025