JINSI ya Kurudisha Akaunti ya Ajira Portal
JINSI ya Kurudisha Akaunti ya Ajira Portal
- Tembelea Tovuti ya Ajira Portal kwenye link https://www.ajira.go.tz.
- Nenda Sehemu ya kulogin, mara nyingi inakuwa imeandikwa Log in au Sign In.
- Tafuta sehemu imeandikwa Forgot Password.
- Ikiwa umesahau neno la siri lako, tafuta sehemu iliyoandikwa Forgot Password au Reset Password.
- Jaza barua Pepe au Jina la mtumiaji (email).
- Utatakiwa kuingiza barua pepe au jina la mtumiaji ambalo lilikuwa linatumika kwenye akaunti yako.
- Utapokea email ya kurejesha Neno lako la siri.
- Email hiyo itakuwa na maelekezo ya jinsi ya kuweka upya neno la siri.
- Fuata maelekezo yaliyotolewa katika barua pepe hiyo ili kuweka upya neno la siri lako.
- Jaza neno la siri Jipya.
- Baada ya kuweka upya nenosiri, utakuwa na uwezo wa kuingia tena kwenye akaunti yako kwa kutumia nenosiri jipya.
