JINSI ya Kupata Cheti Cha Kuzaliwa Online

Mahitaji muhimu ili kupata cheti Cha kuzaliwa uwe na walau documents tatu (3) kati ya hizi;
Ili kupata Chet cha Kuzaliwa unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo;
- Barua ya utambulisho yatoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata au Kijiji au
- Kadi ya Kliniki au
- Cheti cha Ubatizo au
- Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi au sekondari (leaving certificate)
- Hati nyingine zinazozibitisha tarehe, mwezi na mwaka alipozaliwa mtoto na mahali alipozaliwa na
- Picha moja ya pasipoti(passport size)
Gharama ya kupata Cheti Cha Kuzaliwa ni Tsh 20,000 ya Serikali na unalipia kwa control number ambayo tutakupa.
Gharama yangu ya kukufanyia hii kazi ni Tsh 10,000 tu, hivo utapata Cheti Cha Kuzaliwa kwa jumla ya Tsh 30,000.
Aidha cheti chako kinatoka ndani ya siku 7 na utakichukua katika ofisi za Rita za Mkoa ulipo.
Kwa msaada wa kuomba cheti chako Cha kuzaliwa tutafute WhatsApp kwa kubofya link hii https://wa.link/30uwrn.
Huduma hii inapatikana kwa masaa 24.
