JINSI ya Kuongeza Channel za Azam TV

Filed in Makala by on 18/11/2024 0 Comments

JINSI ya Kuongeza Channel za Azam TVJINSI ya Kuongeza Channel za Azam TV, Jinsi ya Ku Update Channel za Azam TV, Kama haupati baadhi ya Channel za Azam ni rahisi tu kuzirudisha kwani ukiwa na remote control tu unazirudisha.

Utachotakiwa kufanya ni kushika remote control yako na kufuata maelezo yafuatayo.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
  • Bonyeza MENU
  • Bonyeza OK kwenye Search
  • Bonyeza OK mara mbili
  • Channel zitaanza kujiupdate yenyewe.

Endapo unatumia Kisimbuzi model nyingine tafadhali fanya hivi;

  • Bonyeza MENU
  • Bonyeza OK kwenye Setting
  • Bonyeza OK kwenye Installation
  • Bonyeza OK kwenye Manual Installation
  • Shuka kwenye Start Search kisha Bonyeza OK

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!