JINSI YA KUKATA TIKETI ZA TRENI YA SGR MTANDAONI

Filed in Makala by on 11/09/2024 0 Comments

JINSI YA KUKATA TIKETI ZA TRENI YA SGR MTANDAONI

JINSI YA KUKATA TIKETI ZA TRENI YA SGR MTANDAONI

Shirika la Reli nchini Tanzani (TRC) limeanzisha mfumo wa kununua tiketi mtandaoni unaojulikana kama TRC Eticketing.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mfumo huu utaondoa usumbufu wa foleni ndefu na wa kununua tiketi katika vituo, ambao kuanzia ssa abiria wa Treni wanaweza kukata tiketi muda wowote wakiwa majumbani kwao kwa kutumia simu janja (Smartphone) au kompyuta/Laptop.

JINSI ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online,Jinsi ya Kukata Tiketi za Treni Online, Hatua za Kukata Tiketi ya Treni ya SGR Kwa njia Ya Mtandaoni, Hatua Kwa hatua namna ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online, Jinsi Ya kukata Tiketi Ya Treni Online eticketing.trc.co.tz.Kununua tiketi ya treni mtandaoni ni lazima kutembelea tovuti rasmi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwenye mfumo wa kukata tiketi ya Treni eticketing.trc.co.tz ambao ni https://eticketing.trc.co.tz/.

HATUA ZA KUKATA TIKETI YA TRENI YA SGR KWA NJIA YA MTANDAO

  1. Ingia kwenye mfumo https://sgrticket.trc.co.tz kupitia Simu au Kompyuta
  2. Chagua Mji unaoanzia Safari na Mji unaokwenda
  3. Weka tarehe ya Safari kisha bofya tafuta
  4. Chagua Ingia kama mteja aliyesajili, mpya au Jisajili
  5. Ingiza nambari ya simu
  6. Pokea tarakimu 6 za uthibitisho kwenye simu yako
  7. Ingiza tarakimu za uthibitisho
  8. Chagua behewa na siti kisha endelea
  9. Pata bei ya nauli
  10. Pata namba ya kumbukumbu
  11. Fanya malipo
  12. Chapisha Tiketi yako

Hakikisha una kiasi cha fedha kwenye Simu yako kulingana na gharama ya daraja la tiketi unayotaka kukata ili kuepuka Usumbufu.JINSI ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online,Jinsi ya Kukata Tiketi za Treni Online, Hatua za Kukata Tiketi ya Treni ya SGR Kwa njia Ya Mtandaoni, Hatua Kwa hatua namna ya Kukata Tiketi za Treni ya SGR Online, Jinsi Ya kukata Tiketi Ya Treni Online eticketing.trc.co.tz.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!