JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Uhakiki NACTVET

Filed in Education by on 07/10/2024 0 Comments
JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Uhakiki NACTVET

JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Uhakiki NACTVET

Waombaji wote waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali Katika wanaweza kupata taarifa zao za uhakiki kwa kutumia msimbo uliotumwa kwenye namba ya simu kwa kubonyeza kitufe cha Uhakiki muhula wa Septemba 2024
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Uhakiki NACTVET

Baada ya kuingia kwenye mfumo wa kuangalia Uhakiki utakutana na picha hii.

Fuata maelekezo kama kuingiza Msimbo (Code) wa uhakiki uliyotumiwa kwenye simu.
Aidha NACTVET inawasisitiza waombaji wote kutunza waliyotumiwa kwani ndio utatumika katika usajili pindi mtakapofika katika chuo kwaajili ya kuanza masomo. 

Matokeo ya Uhakiki wa Waombaji Waliochaguliwa Awamu ya Pili Mkupuo wa Septemba 2024/2025


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!