JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Nne CSEE 2024

Filed in Education by on 08/12/2024

JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Nne CSEE 2024JINSI ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Nne CSEE 2024

Ili kuangalia matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne mwaka 2024, wanafunzi na wazazi wanaweza kutumia njia mbalimbali, ikiwemo kutembelea tovuti rasmi ya NECTA au kutumia huduma za simu za mkononi.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Hata hivyo, kwa urahisi na uhakika zaidi, inashauriwa kutumia tovuti rasmi ya NECTA.

Njia hii inawawezesha kupata matokeo sahihi na ya papo hapo, popote pale walipo ukiwa na Smartphone.

Hapa chini tumekuwekea hatua kwa hatua namna na jinsi ya kuangalia matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne mwaka 2024.

Angalia hapa chini hatua hizo Ili uweze kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne 2024.

Tembelea Tovuti ya NECTA
Kwa kuanzia, fungua kivinjari chako cha wavuti kama kwenye Chrome, Firefox, au Safari.

  • Kisha, andika anwani ya tovuti ya NECTA www.necta.go.tz.
  • Ukurasa huu na unatumiwa kwa kutoa taarifa na matokeo ya mitihani yote nchini Tanzania.
  • Nenda Kwenye Sehemu ya Matokeo (Results)
  • Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Results” au “Matokeo.”
  • Hii itakupeleka kwenye ukurasa unaoonyesha orodha ya matokeo ya mitihani mbalimbali inayosimamiwa na NECTA.
  • Baada ya kufungua sehemu ya matokeo, utaona orodha ya mitihani kama vile PSLE, CSEE, na SFNA wewe Chagua Mtihani wa CSEE.
  • Chagua Mwaka wa Mtihani
  • Kwa kuwa unatafuta matokeo ya mwaka 2024, chagua mwaka 2024 kwenye orodha, kwani pia matokeo ya miaka iliyopita yameorodheshwa hapo.
  • Chagua Shule
  • Baada ya kuchagua mwaka, utaona orodha ya shule zote zilizofanya mitihani wa kidato cha Nne mwaka 2024.
  • Tafuta jina la Shule ambayo Mtoto wako alisomea/ulisomea na bonyeza jina la shule hiyo Majina ya Wanafunzi yote na matokeo yao yataonekana.

Kwa urahisi unaweza kutazama Matokeo hayo Kwa kubofya MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024.

Kuangalia Matokeo Kwa SMS

  • Piga *152*00#
  • Chagua namba 8.ELIMU
  • Chagua namba 2.NECTA
  • Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
  • Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
  • Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
  • Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
  • Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!