JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal
JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI, Jinsi ya Kuangalia kama Umechaguliwa Kwa Usaili Ajira Portal, Jinsi ya kujua kama umeitwa kwenye Usaili UTUMISHI.
Katika Makala hii utaweza kufahamu kama umechaguliwa au hujachaguliwa kwenye usaili ikiwa umetuma maombi ya Ajira kupitia tovuti ya ajira.
Kwa kufuata hatua zifuatazo utaweza kuona hali ya ombi lako
- Ingia kwenye akaunti yako kupitia link hii portal.ajira.go.tz
- Ingiza barua pepe (email) yako kama jina la mtumiaji na Password yako.
- Bofya menyu ya MAOMBI YANGU.
- Utaona orodha yote ya programu yako pamoja na taarifa yake.
- Ukichagua utaona neno Orodha fupi.
- Ikiwa haujachaguliwa utaona neno haijaorodheshwa na sababu za kwanini.
Kwa waombaji waliochaguliwa utaona namba ya mtihani wa Usaili lakini pia utaona ratiba ya usaili na eneo la usaili utakapofanyika.
Aidha Waombaji wa fursa za Ajira wanatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, pia wanatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal