INEC WALIOITWA KAZINI MBULU TOWN COUNCIL

Filed in Kuitwa Kazini by on 14/09/2024 0 Comments

INEC WALIOITWA KAZINI MBULU TOWN COUNCIL

INEC WALIOITWA KAZINI MBULU TOWN COUNCIL

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mbulu Mjini anapenda kuwataarifu wafuatao ndio waliofanikiwa kupata ajira ya muda Pamoja na akiba kwa nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendeshaji wa vifaa vya Bayometriki.

Kwa hiyo, watatakiwa kushiriki mafunzo yatakayoanza siku ya tarehe 22/09/2024 hadi 23/09/2024 saa 2:00 asubuhi kila siku katika ukumbi wa shule ya sekondari Chief Sarwatt.

Wanapokuja kwenye mafunzo wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo;

  • Kila mmoja atapaswa kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
  • Vitambulisho vitakavyokubalika ni Pamoja na kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha Mkazi,kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha mkazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya udereva au barua ya utambulisho kutoka serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Kila aliyeitwa kwenye mafunzo azingatie tarehe, muda na mahali palipoelekezwa kufanyia mafunzo hayo.
NB: Play na Stop ili video isimane kutazama majina kwa umakini then play kwenda kwenye majina mengine na stop ili kutazama zaidi.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!