INEC WALIOITWA KAZINI KITETO DC

Filed in Kuitwa Kazini by on 13/09/2024 0 Comments
INEC WALIOITWA KAZINI KITETO DC

INEC WALIOITWA KAZINI KITETO DC

TANGAZO LA ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA JIMBO LA
KITETO – 2024
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kiteto anapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa nafasi za Waandishi wasaidizi na Waendesha mashine za BVR na wale wa akiba katika Jimbo la Kiteto 2024, kuwa mafunzo yatafanyika kuanzia tarehe 22 na 23 Septemba, 2024 Katika vituo vya Kibaya, Engusero na Sunya kwa mchanganuo ufuatao:-
Kituo cha Kibaya kitahusisha Kata za:
Kaloleni, Kibaya, Bwagamoyo, Partimbo, Namelock, Njoro, Olboloti, Makame na Ndedo mafunzo yatafanyika (Kiteto Sekondari)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
Kituo cha Engusero kitahusisha Kata za:
Engusero, Matui, Ndirigish,Bwawani, Chapakazi, Dosidosi, Magungu Songambele. Mafunzo yatafanyika (Engusero Sekondari)
Kituo cha Sunya kitahusisha Kata za:
Sunya, Dongo,Laiseri, Kijungu, Loolera yatafanyika (Sunya Sekondari).
na na Lengatei. Mafunzo
Kila mwombaji azingatie tarehe, muda na mahali pa kufanyia mafunzo
Waombaji wa kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Muda wa mafunzo utakuwa kuanzia saa 1:30 Asubuhi kwa siku zote za mafunzo. 
Orodha ya Majina ya waliochaguliwa katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura Jimbo la Kiteto 2024 imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!