INEC WALIOITWA KAZINI BAHI DISTRICT COUNCIL

Filed in Ajira by on 09/09/2024 0 Comments
INEC WALIOITWA KAZINI BAHI DISTRICT COUNCIL

TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJAZA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI KATIKA USAILI ULIOFANYIKA TAREHE 05 NA 06/09/2024

Afisa Mwandikishaji jimbo la Bahi anapenda kuwajulisha kuwa, wafuatao wamechaguliwa kujaza nafasi za kazi za muda za Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya bayometriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura katika usaili uliofanyika katika Tarafa za Chipanga, Mwitikira, Mundemu na Bahi kuanzia tarehe 5 – 6 Septemba, 2024.
Ratiba mtapatiwa kupitia ofisi za kata ya simu na tovuti ya Halmashauri.
mawasiliano.
Pamoja na tangazo hili orodha ya majina ya waliochaguliwa kwenye Mafunzo/Kazini yameambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!