HONGERA Simba SC Kwa Kufuzu Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

HONGERA Simba SC Kwa Kufuzu Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
HONGERA Simba SC Kwa Kufuzu Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Klabu ya Simba SC imefanikiwa Kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025).
Simba imefuzu hatua hiyo baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, mchezo uliopigwa leo tarehe 12 January 2025.
Bao la Simba lililoipeleka Robo Fainali limefungwa na Mshambuliaji wake Lionel Ateba Katika dakika ya 69, huku la Bravos likifungwa na Mosiatlhage Keoikantse Abednego dakika ya 13.

HONGERA Simba SC Kwa Kufuzu Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Kuelekea Robo Fainali hiyo Kama Simba itashinda mchezo wa mwisho kuongoza Kundi A itaanzia ugenini Katika mchezo wa Kwanza na kumaliza mechi ya pili nyumbani.
Pia itakuwa ni nafasi nzuri ya kuelekea Nusu Fainali kwani itacheza dhidi ya timu iliyomaliza katika nafasi ya pili kwenye kundi jingine.
Hii inakuwa Robo Fainali ya 6 Kwa Simba SC katika misimu saba iliyopita.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: HONGERA Simb SC Kwa Kufuzu Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025