HESLB Vifupisho Wakati wa Maombi ya Mikopo 2024/2025

Filed in Education by on 07/11/2024 0 Comments

HESLB Vifupisho Wakati wa Maombi ya Mikopo 2024/2025HESLB Vifupisho Wakati wa Maombi ya Mikopo 2024/2025

Heslb vifupisho wakati wa maombi ya mikopo 2024 2025 results dirisha la mkopo 2024/2025,HESLB login,HESLB news today,Jinsi ya kuangalia majibu ya Mkopo.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

ACSEE: Cheti cha Kidato cha Sita
BS: Vitabu na Viandikwa
CLB: Wanufaika wanaoendelea na masomo
CSEE: Cheti cha Kidato cha Nne
FTCA: Waombaji wa mkopo kwa mara ya kwanza wanaoendelea na masomo
FPT: Mafunzo kwa vitendo
HESLB: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
MA: Chakula na malazi
MT: King’amua uwezo
NACTVET: Baraza la Taifa la Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi
OLAMS: Mfumo wa maombi na usimamizi wa mikopo
PDF: Fomu ya ulemavu wa mzazi
RES: Gharama za utafiti
RITA: Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini
SCSF: Fomu ya Ufadhili
SDF: Fomu ya ulemavu ya mwombaji
SES: Hali ya kijamii na kiuchumi
SIPA: Akaunti ya kudumu ya mwanafunzi
SFR: Mahitaji Maalumu ya Kitivo
TASAF: Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
ZCSRA: Wakala wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
SOCF: Fomu Maalumu ya Kituo cha Kulea Watoto Yatima


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!