FOMU za Kujiunga na Mafunzo kwa Waendesha Pikipiki (Bodaboda)

Filed in Education by on 15/10/2024 0 Comments
FOMU za Kujiunga na Mafunzo kwa Waendesha Pikipiki (Bodaboda)

FOMU za Kujiunga na Mafunzo kwa Waendesha Pikipiki (Bodaboda)

MAFUNZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) WASIO PATA MAFUNZO NA 
KUTOKUWA NA LESENI YA KUENDESHEA.
VETA imeanzisha Mpango wa Kuboresha Ujuzi wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) 
kwa kutoa mafunzo kwa wale wanaofanya kazi bila ya kupata mafunzo stahiki.
Mafunzo haya yatashirikisha wataalamu wa VETA, Jeshi la Polisi Kitengo cha 
Usalama Barabarani na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
hapa chini ni Fomu ya Maelekezo ya Kujiunga na Chuo hicho Katika Kozi husika.
Aidha unapaswa kujaza sehemu zote kwa herufi kubwa.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD FOMU YA MAOMBI MAFUNZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) WASIO PATA MAFUNZO


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!